Lulu: Nitauza nguo zangu nipate pesa.

Burudani Hot
Wakati Siku ya Wapendanao, Valentine’s Day (Februari 14) ikiwa akaribia, Staa wa filamu, Elizabeth Michael (Lulu), amekuja na kitu kwa ajili ya siku hiyo na kukipa jina la “Save My Valentine”. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lulu ameandika kuwa kuelekea sikukuu hiyo, ameamua kuuza baadhi ya nguo zake. “Pesa yote itakayopatikana kupitia mauzo itaenda kusaidia watu wenye uhitaji katika Jamii,” alisema Lulu BIMA BANNER

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *