Tetesi za Usajili Ulaya

Hot Michezo

Juventus wanajiandaa kuwapa Manchester United wachezaji watatu ili kubadilishana na kiungo Paul Pogba. (Mirror)

Mpango huo kama utafaulu, utawahusisha wachezaji Danilo, 28, na Joao Cancelo, 25. (Goal.com)

Arsenal wanaweza kuelekeza nguvu zao zote katika kumsajili beki wa kati wa RB Leipzig Mfaransa Dayot Upamecano, 20, kama mbadala wa beki wa JuventusDaniele Rugani – lakini Leipzig wanataka pauni milioni 50 ili kumuachia beki huyo..

Manchester United wataendelea kupokea ofa kwa ajili ya mshambuliaji wao Romelu Lukaku, 26, lakini yawezekana wasitafute mbada wake endapo ataondoka baada ya kuchipukia kwa kinda Mason Greenwood, 17. (ESPN)

Lukaku ana uwezekano mkubwa wa kujiunga Inter Milan kuliko Juventushususani endapo Man United itashindwa kumpata Paulo Dybala, 25. (Express)

BIMA BANNER

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *