TANZIA; Mzee Idd Simba afariki dunia JKCI, bintiye Sauda Simba thibitisha

Habari Hot

DAR ES SALAAM, TANZANIA

WAZIRI wa zamani wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Mzee Iddi Simba, amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es salaam, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa binti wa marehemu, Sauda Simba Kilumanga, baba yake aliyezaliwa Oktoba 8, 1935, amefariki kutokana na maradhi ya moyo, yaliyomlaza katika taasisi hiyo kwa matibabu.

BIMA BANNER

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *