KISA RAIS TRUMP, Rapa Mmarekani Cardi B aomba kuchaguliwa jina la ki-Nigeria ili kubadili uraia

ABUJA, NIGERIA RAPA wa kike raia wa Marekani, Belcalis Marlenis Almánzar maarufu kama Cardi B, amethibitisha alivyo ‘serious’ katika ishu ya kubadili uraia wake na kuwa Mnigeria, baada ya kuendesha mchakato wa upigaji kura miongoni mwa mashabiki wake, ili kumchagulia Jina la Kinigeria. Cardi B, Januari 3 mwaka huu alitangaza nia ya kubadili uraia wake […]

Continue Reading

Mrembo wa Afrika Kusini atwaa Taji la Dunia la Miss Universe 2019

ATLANTA, MAREKANI MREMBO wa Afrika Kusini, Zozibini Tunzi, jana usiku amevikwa taji la Dunia la Miss Universe 2019, akiwashinda walimbwende kutoka mataifa ya Puerto Rico na Mexico katika kinyang’anyiro hicho. Katika umri wa miaka 26 alionao, Tunzi alikuwa kivutio kwa majaji na mashabiki waliohudhuria shindano hilo, ambako alitikisa ukumbini kila alipopanda akiwa kwenye mavazi tofauti. […]

Continue Reading

Bi Cheka kuzikwa Saa 10 alasiri leo nyumbani kwake Mnadani Bunju

MAZISHI ya aliyekuwa msanii wa Lebo ya Mkubwa na Wanawe, Cheka Hija ‘Bi Cheka,’ alyefariki dunia jana Alhamisi Novemba 28, unatarajiwa kuzikwa leo, saa 10 alasiri, nyumbani kwake Mnadani, Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Akizungumza na JUPITA HABARI leo asubuhi, aliyewahi kuwa Meneja wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella ‘Mkubwa Fella,’ […]

Continue Reading

Baba Levo ashinda rufaa, aachiwa huru leo Kigoma

MKALI wa Muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva,’ ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo), Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clyaton Revocatus ‘Baba Levo,’ leo ameshinda rufaa yake katika Mahakama Kuu Kanda ya Magharibi (Kigoma). Awali, Baba Levo alihukumiwa kifungo cha miezi 6 katika Mahakama ya Mwanzo Mwandiga, lakini alipokata rufaa Mahakama ya […]

Continue Reading

Ernesto Valverde ushindi lazima dhidi ya Chelsea

Klabu ya FC Barcelona imewasili nchini Japan siku ya jana jumapili ili kujiandaa na msimu ujao wa mwaka 2019/2020 Ikiwa Japan Barcelona itacheza mechi za kirafiki dhidi ya Chelsea na klabu ya FC Vissel Kobe. Kocha mkuu wa klabu hiyo Ernesto valverde ameahidi ushindi dhidi ya wapinzani wao huko Japan Mechi za FC Barcelona nchini […]

Continue Reading