Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe ajiuzulu uanachama Chadema, arejea CCM

MBUNGE wa Ndanda mkoani Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, leo Februari 15, 2020 amejiuzulu nafasi hiyo na kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Mwambe, ambaye akiwa Chadema alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kusini, alijiunga Chadema akitokea CCM, mwaka 2015. Kuelekea Uchaguzi […]

Continue Reading

WIZI; Mlinzi wa Maegesho ya Magari Makubwa Igunga atoweka na Sh. Mil.17.2

TABORA, TANZANA ASKARI wa Jeshi la Akiba aliyekuwa akikusanya fedha za Ushuru wa Maegesho ya Magari Makubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, mkoa wa Tabora, Peter Areray, mwenyeji Manyara, ametoweka na kasi cha pesa kinachokadiriwa kuwa Sh. Milioni 17.2 za makusanyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Revocatus Kuuli, alisema jana kwamba, […]

Continue Reading

UBAKAJI; Kibabu cha miaka 71 chamjeruhi mwanafunzi ‘akifosi’ kumbaka

DODOMA, TANZANIA JESHI la Polisi, Mkoa wa Dodoma, limemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Kondoa, Dodoma, Ally Busi (71), Mkazi wa Kijiji Cha Masange, Kata ya Masange, wilayani humo, kwa kosa la kutaka kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Girres Muroto, […]

Continue Reading

UTAFITI; Watu 400 kati ya 2,000 wagundulika na Virusi vya Homa ya Ini

DAR ES SALAAM, TANZANIA WATU 2,000 waliofanyiwa utafiti wa maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini, 400 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, ambao ni sawa na asilimia 40, wakiwa hatarini kupata Saratani ya Ini. Aidha, imebainika kuwa asilimia 90ya wanaopata maambukizi hayo ni kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Bingwa wa Magonjwa ya […]

Continue Reading

WIZI MTANDAONI, Wananchi wataka TCRA ijitathmini

NA BRYCESON MATHIAS, MVOMERO WANANCHI wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ijitathmini na kujihoji kwa nini pamoja na kusajili laini za simu kwa alama za vidole, bado matapeli na wezi wa mitandaoni wanaendelea na wzi wao kasi kubwa. Kauli hiyo imekuja baada ya mkazi mmoja kuonesha ujumbe mfupi wa maneno (sms), […]

Continue Reading

MAMA aliyegongwa na gari la JWTZ, amwangukia Waziri Dk. Hussein Mwinyi

ARUSHA, TANZANIA MAMA mnyonge, Nailejileji Abel Laizer (40), aliyetelekezewa watoto wawili na mumewe, aliyemkimbia baada ya kugongwa na gari la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Monduli, akidhaniwa amekufa, amemwangukia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akimuomba amsaidie. Nailejileji aliyegongwa na gari hilo Juni, 2010 na kupewa hadhi ya Balozi kutokana […]

Continue Reading

TAHADHARI; Siku tano za hatari hizi hapa, TMA yaonya mvua kubwa

DAR ES SALAAM, TANZANIA MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ajana ilitangaza hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia jana, taarifa ilyoitaja mikoa inayotarajia kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe. Mingine ni Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Morogoro Kusini pamoja na visiwa […]

Continue Reading

TANZIA; Mzee Idd Simba afariki dunia JKCI, bintiye Sauda Simba thibitisha

DAR ES SALAAM, TANZANIA WAZIRI wa zamani wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Mzee Iddi Simba, amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es salaam, alikokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa binti wa marehemu, Sauda Simba Kilumanga, baba yake aliyezaliwa Oktoba 8, 1935, amefariki […]

Continue Reading

AJALI, Abiria 29 Basi la Saibaba wanusurika vifo

PWANI, TANZANIA ABIRIA zaidi ya 29 wamenusurika kifo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililobeba kokoto, katika eneo la Kongowe wilayani Kibaha, mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, ambapo alisema kwamba tukio hilo limetokea jana saa 1 asubuhi katika barabara ya […]

Continue Reading

MOTO; Vibanda 60 vya Machinga Soko la Makoroboi, Mwanza vyateketea

MWANZA, TANZANIA ZAIDI ya vibanda 60 vya wafanyabiashara wadogo wadogo, maarufu Machinga, katika Soko la Makoroboi jijini Mwanza, vimetekea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme. Akizungumza na waathirika wa moto huo ambao umeteketeza vibanda zaidi ya 100, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Dk.Philis Nyimbi, alieleza kuwa moto huo ulitokea jana saa tisa usiku, huku […]

Continue Reading