RAIS Magufuli: Makonda rejesha fedha za TASAF ulizopewa na Benjamin Mkapa

DAR ES SALAAM, TANZANIA RAIS John Magufuli, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, arudishe fedha alizopewa mwaka 2012 kwa ajili ya nauli kwenda Dodoma kuomba kura achaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Bara. Makonda, amesema leo jijini Dar es Salaam kuwa, katika uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha […]

Continue Reading

Beckham asaini mkataba mnono Qatar Foundation

MIAMI, MAREKANI MMILIKI wa klabu ya Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MSL), David Beckham, ameripotiwa kusaini kandarasi nono ya udhamini wa timu yake hiyo wenye thamani ya dola milioni 180 na Qatar Foundation, iliyowahi kuidhamini FC Barcelona ya Hispania kwa miaka miwili. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari, yakiwemo magazeti ya Daily […]

Continue Reading

UBAKAJI; Mzee wa miaka 62 jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 10

LINDI, TANZANIA MKAZI wa Kijiji Cha Mmanga Wanga, Kata ya Kiwalala, wilayani Lindi Vijijini, Issa Mussa (62), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Sh. Milioni 2, baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka 10. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Lindi, Maria Batulaine, […]

Continue Reading

AFARIKI baada ya kuangukiwa na jiwe mgodini Kahama

SHINYANGA, TANZANIA MKAZI wa Kijiji cha Marito, Kata ya Shilela, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, Amos Lucas (28), amefariki dunia baada ya kupondwa na jiwe wakati akiendelea na shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika Mgodi wa Bushimangila Gold Mine, uliopo Kijiji cha Mhandu, Kata ya Chela. Chanzo cha habari kililiambia gazeti TanzaniaDaima kuwa, watu wawili […]

Continue Reading

UTAPIAMLO watajwa kuwa chanzo kuongezeka kwa Kifua Kikuu

RUVUMA, TANZANIA TATIZO la utapiamlo linalotakana na ukosefu wa lishe bora kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano, linatajwa kuchangia kuongezeka kwa ugonjwa wa kifua kikuu unaopoteza maisha ya watoto wengi hapa nchini. Kwa mantiki hiyo, wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wao mlo kamili, mlo bora na kuzingatia kanuni bora za […]

Continue Reading

Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe ajiuzulu uanachama Chadema, arejea CCM

MBUNGE wa Ndanda mkoani Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, leo Februari 15, 2020 amejiuzulu nafasi hiyo na kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Mwambe, ambaye akiwa Chadema alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kusini, alijiunga Chadema akitokea CCM, mwaka 2015. Kuelekea Uchaguzi […]

Continue Reading

WIZI; Mlinzi wa Maegesho ya Magari Makubwa Igunga atoweka na Sh. Mil.17.2

TABORA, TANZANA ASKARI wa Jeshi la Akiba aliyekuwa akikusanya fedha za Ushuru wa Maegesho ya Magari Makubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, mkoa wa Tabora, Peter Areray, mwenyeji Manyara, ametoweka na kasi cha pesa kinachokadiriwa kuwa Sh. Milioni 17.2 za makusanyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Revocatus Kuuli, alisema jana kwamba, […]

Continue Reading