Timua timua England yamnyemelea Ole gunnar solskjaer

Makala, Nani atamfata pochettino? Timua timua ya makocha barani ulaya imezidi kugonga mioyo ya watu hii ni baada ya aliekuwa kocha wa Spurs maurceio pochettino kufutwa kazi Swali ni je, nani atafuata? Wachambuzi mbalimbali wa soka barani ulaya na dunia kiujumla wameweza kuwataja makocha wengine kadha wa kadha ambao wanaweza kupitiwa na kimbunga hicho cha […]

Continue Reading

FILBERT BAYI na simulizi ya kisa cha ‘underdog’ Usiku wa Wakongwe wa Riadha

MONACO, UFARANSA UKUMBI wa mikutano wa Hoteli ya Le Méridien Beach Plaza, iliyopo Monte Carlo, Monaco nchini Ufaransa, ulikuwa mwenyeji wa hafla iliyopewa jina la World Athletics Heritage Mile Night, dhifa iliyowakutanisha wakali wa zamani waliovunja na kuweka reodi katika mbio za mita 1,500 na 1,600. Bingwa wa mita 1,500 wa Olimpiki ya mwaka 1960 […]

Continue Reading

Mheshimiwa Rais kuwapa uhuru wachezaji kuuza Viwanja vya Dodoma ni kupoteza kumbukumbu ya AFCON 2019

Jumatatu, Machi 25 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, aliwaita wachezaji wa timu ya Taifa, dawati la ufundi na bondia Hassan Mwakinyo, Ikulu, jijini Dar es Salaam. Rais aliwaita Taifa Stars na Mwakinyo baada ya kazi nzuri waliyoifanya ya kuipeperusha vema bendera ya Taifa. Wakati Taifa Stars ikipongezwa na Rais baada ya […]

Continue Reading

MZIGO WA LISSU NI MZITO SANA KWA BALOZI POSSI. ATAFUTWE MTU WA KUUBEBA

Na LYENDA G Wahenga wanao usemi usemao MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI AUBEBE. Mpaka sasa bado sifahamu kwanini watu hao wa kale walitunga msemo huo. Japo naelewa maana yake kinadharia. Sakata la Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Abdallah Possi umenifanya niukumbuke msemo huo. Juzi na jana, mitandao ya kijamii nchini Tanzania ilikuwa “bize” ikijadili taarifa kwa […]

Continue Reading

Wadau waeleza madini yanavyotoroshwa kwenye matikiti maji

Wadau wa madini wameeeleza jinsi madini nchini yanavyotoroshwa kwenda nje ya nchi kupitia mipakani. Wadau hao wameeleza hayo leo Jumanne Januari 22, kwenye Mkutano wa Kisekta wa Wizara ya Madini ulioshirikisha wadau mbalimbali wa madini, baada ya Rais John Magufuli kutoa nafasi kwa wadau hao kuelezea changamoto zinazowakabili. Mmoja wa wadau wa madini kutoka mkoani […]

Continue Reading