Infinix wakabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya “December to Remember Kishuashua”

Baada ya sherehe ya Infinix S5 iliyofanyika mwanzoni mwa Desemba na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa Infinix wakiwamo wasanii maarufu kama Lulu Diva, shangwe ilifana zaidi baada ya Infinix kutangaza ujio wa promotion ya “DECEMBER TO REMEMBER KISHUASHUA”. DECEMBER TO REMEMBER KISHUASHUA ni msimu wa zawadi kemkem kutoka lnfinix na hivi ndivyo wateja walionunua Infinix […]

Continue Reading

Hili ni bonge la ofa kutoka Infinix “December to Remember kishuashua”

Funga mwaka na mazawadi kedekede kwajili yako na familia yako ikiwa ni hishara ya upendo kutoka kampuni kwa wanafamilia wote wa Infinix katika msimu huu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya. December To Remember Kishuashua ni promotion kabambe yenye kukuwezesha wewe mdau wa simu za Infinix kujizolea zawadi mbalimbali kama vile Vacuum Cleaner, Deep […]

Continue Reading

Amana Bank yaanza kukopesha ada wazazi, walezi

DAR ES SALAAM, TANZANIA KATIKA kutanua wigo wa kuifikia jamii na kusaidia utatuzi wa changamoto za kielimu, Benki ya Amana imeanzisha huduma ya kutoa mikopo ya ada ili kutua mzigo huo kwa wazazi na walezi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Dk. Muhsin Masoud, wakati wa hafla ya kusherehekea miaka nane ya Amana […]

Continue Reading

Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi/Mashirika ya Umma ‘yanayobana’ gawio la Serikali

DODOMA, TANZANIA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, ametoa siku 60 kwa taasisi na mashirika ya umma yasiyotoa gawio la Serikali yatoe, vinginevyo bodi za mashirika ama taasisi hizo zitavunjwa. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Novemba 24, 2019, wakati wa hafla ya kupokea Gawio, Michango na Ziada ya Serikali kutoka mashirika, […]

Continue Reading

Ndege ya Tanzania Aina ya Bombadier Q400 Yakamatwa Canada

DODOMA, TANZANIA KWA mara ya pili katika kipindi cha miezi mitatu, ndege ya Tanzania imekamatwa, safari hii ni aina ya Bombadier Q400 iliyokamatwa nchini Canada, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi, amethibitisha. Kama ilivyokuwa mara ya kwanza, Waziri Kabudi amesema aliyesababishwa kukamatwa kwa ndege hiyo ni raia wa Afrika […]

Continue Reading

Jinamizi lazidi kuiandama Boeing 737 Max. wakaguzi wagundua tatizo lingine

Chicago, MAREKANI. Wakaguzi nchini marekani wamegundua tatizo jipya katika ndege ya kampuni ya Boeing chapa 737 max ambalo huenda likachelewesha kurudi kuhudumu kwa ndege hiyo. Utawala wa safari za anga nchini Marekani-Federal Aviation Administration (FAA) umesema umegundua “inayowezekana kuwa hatari” wakati wa majaribio, lakini haukfichua matokeo. Ndege hiyo inayouzwa sana katika kampuni ya Boeing ilisitishwa […]

Continue Reading

Airtel yaikabidhi serikali ya Tanzania mabilioni ya fedha. kampuni nyingine zahimizwa…

Dar es Salaam, TANZANIA. Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel imetoa gawio la miezi mitatu ambalo ni shilingi Bilioni tatu kwa Serikali ya Tanzania ikiwa ni matokeo ya majadiliano ya umiliki yaliyofanyika kati ya Serikali na kampuni hiyo. Pia jumla ya shilingi Bilioni 2.270 zimetolewa na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bharti Airtel, Sunil Mittal […]

Continue Reading

Urusi na China zaazimia kuiondoa sarafu ya dola. ni katika miamala ya kibiashara

Rais Xi Jinping wa China ametangaza habari ya kutiwa saini mapatano ya kufutwa sarafu ya dola katika miamala ya kibiashara ya nchi yake na Russia. Rais amesema kwamba kwa mujibu wa mapatano ya nchi mbili hizi, dola itafutwa kabisa katika mabadilishano ya kibiashara ya nchi mbili na badala yake sarafu za mataifa hayo kuchukua nafasi […]

Continue Reading

China yakiri uchumi wake kuyumba

Beijing, CHINA. Waziri mkuu wa China ameonya kwamba nchi hiyo itakabiliana na hali ngumu kiuchumi, Waziri kuu Li Keqiang amezungumza hayo wakati akiwasilisha hatua za kupunguza kodi kujaribu kuuchochea uchumi unaolegalega na huku pia akiongeza matumizi ya jeshi kwa takribani dola bilioni 180. Kupungua kasi ya ukuaji wa uchumi pamoja na vita vya kibiashara na […]

Continue Reading